[caption id="attachment_29941" align="aligncenter" width="1000"] Kiongozi wa Timu ya Wataalamu wa Mifumo ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wa Mradi wa Programu ya Kuimarisha Mifumo ya Sekta za Umma (PS3), Desideri Wengaa akifafanua mada kuhusu Mfumo wa Uandaaji Taarifa za Kiuhasibu (FFARS) wakati wa mafunzo kwa ajili ya wakufunzi wa mikoa kuhusu mifumo ya Upelekaji wa fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za Afya (DHFF), Bima ya Afya ya Jamii(CHF) na Utaratibu wa manunuzi ya dawa nje ya mfumo wa MSD (Jazia – Prime Vendor System) leo jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.[/caption] [caption id="attachment_29943" align="aligncenter" width="1000"] Mwezeshaji kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Edwin Chao akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa ajili ya wakufunzi wa mikoa kuhusu mifumo ya Upelekaji wa fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za Afya (DHFF), Bima ya Afya ya Jamii(CHF) na Utaratibu wa manunuzi ya dawa nje ya mfumo wa MSD (Jazia – Prime Vendor System) leo jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.[/caption] [caption id="attachment_29944" align="aligncenter" width="1000"] Mwezeshaji kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Steven Kitinya (Mwezeshaji) akiwasilisha mada kuhusu mfumo wa upelekaji wa fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma wakati wa mafunzo kwa ajili ya wakufunzi wa mikoa kuhusu mifumo ya Upelekaji wa fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za Afya (DHFF), Bima ya Afya ya Jamii(CHF) na Utaratibu wa manunuzi ya dawa nje ya mfumo wa MSD (Jazia – Prime Vendor System) leo jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.[/caption] [caption id="attachment_29945" align="aligncenter" width="1000"] Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Bi. Janeth Kibambo akizungumza wakati wa mafunzo kwa ajili ya wakufunzi wa mikoa kuhusu mifumo ya Upelekaji wa fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za Afya (DHFF), Bima ya Afya ya Jamii(CHF) na Utaratibu wa manunuzi ya dawa nje ya mfumo wa MSD (Jazia – Prime Vendor System) leo jijini Mbeya. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bi. Catherine Usubisya na Mfamasia wa Mkoa wa Morogoro Bi. Martha Kikwale. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.[/caption] [caption id="attachment_29947" align="aligncenter" width="1000"] Mwakilishi kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bi. Catherine Usubisya akielezea jambo wakati wa mafunzo kwa ajili ya wakufunzi wa mikoa kuhusu mifumo ya Upelekaji wa fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za Afya (DHFF), Bima ya Afya ya Jamii(CHF) na Utaratibu wa manunuzi ya dawa nje ya mfumo wa MSD (Jazia – Prime Vendor System) leo jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.[/caption] [caption id="attachment_29948" align="aligncenter" width="1000"] Meneja Programu wa Mkoa wa Dodoma toka Taasisi ya Kuhamasisha Uimarishaji wa Mifumo ya Afya (HPSS) akielezea jambo wakati wa mafunzo kwa ajili ya wakufunzi wa mikoa kuhusu mifumo ya Upelekaji wa fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za Afya (DHFF), Bima ya Afya ya Jamii(CHF) na Utaratibu wa manunuzi ya dawa nje ya mfumo wa MSD (Jazia – Prime Vendor System) leo jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.[/caption] [caption id="attachment_29949" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada kwa makini. (Picha zote na: MAELEZO, Mbeya.)[/caption]