Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Vikosi Jijini Dar es Salaam.
Sep 04, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Jeshi la Polisi mara baada ya kuwasili kwenye Bwalo la Maafisa wa Polisi (Police Officer’s Mess) Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Septemba, 2023.
Na
Ikulu