Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mpango kabambe wa Sekta ya Uvuvi utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka kumi na tano kuanzia 2021/2022 hadi 2036/2037 Kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Septemba 20, 2022. Kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki na kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Dkt. Christina Ishengoma
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa