Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Oman aliyemaliza muda wake hapa nchini, Mhe. Ali Bin Abdallah Bin Salim Al Mahrouqi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga leo tarehe 12 Agosti, 2021. PICHA NA IKULU.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa