Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Spika Dkt. Tulia Akutana na Makonda
Nov 02, 2023
Spika Dkt. Tulia Akutana na Makonda
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Paul Makonda ofisini kwake bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 2 Novemba, 2023.
Na Mwandishi Wetu

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi