[caption id="attachment_40521" align="aligncenter" width="1000"] Wafanyabiashara wa samaki katika soko la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Amina Sadiki (kushoto) na Halima Ramadhani (kulia) wakiparua samaki sokoni hapo, Februari 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_40522" align="aligncenter" width="1000"] Wachuuzi wa dagaa katika soko la samaki la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Odes Aloys (kulia) na Rashidi Haji (kushoto) wakianika dagaa sokoni hapo Februari 15, 2019.[/caption] [caption id="attachment_40524" align="aligncenter" width="1000"] Muuzaji wa mafuta ya mawese yanayotokana na michikichi, Mwajuma Khamis akitamka bei za mafuta hayo aliyokuwa akiyauza kati ya Shillings 1,000 hadi 10,000 katika soko la samaki la Kibirizi kwenye Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 15, 2019.[/caption]