Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Serikali Yasaini Mkataba wa Bilioni 440 Pamoja na Msaada wa Sh. Bilioni 45 Kutoka AfDB.
Nov 15, 2018
Na Msemaji Mkuu

 

Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Fedha Na Mipango Doto James (Kulia) Akiwa Pamoja Na Mwakilishi Mkazi Wa Benki Ya Maendeleo Ya Afrika(Afdb) Alex Mubiru Wakisaini Mikataba Ya Makubaliano Ya Mkopo Wa Masharti Nafuu Wa Jumla Ya Shilingi Bilioni 440.703 Pamoja Na Msaada Wa Shilingi Bilioni 45 Ambapo Fedha Hizo Zote Zitatumika Katika Mradi Mkubwa Wa Umeme Mkoani Kigoma, Bajeti Kuu Ya Serikali, Kilimo Pamoja Na Mambo Mengine Ya Kimaendeleo

.

[caption id="attachment_38170" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Fedha Na Mipango Doto James Akisaini Moja Ya Mikataba Hiyo Ya Mkopo Wa Masharti Nafuu Wa Jumla Ya Shilingi Bilioni 440.703 Pamoja Na Msaada Wa Shilingi Bilioni 45 Kutoka Afdb Katika Hafla Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam[/caption]   [caption id="attachment_38171" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Fedha Na Mipango Doto James (Kulia) Akizungumza Na Wanahabari (Hawaonekani) Pichani Mara Baada Ya Kusaini Mikataba Hiyo Ya Mkopo Wa Masharti Nafuu Wa Jumla Ya Shilingi Bilioni 440.703 Pamoja Na Msaada Wa Shilingi Bilioni 45 Kutoka Benki Ya Maendeleo Ya Afrika (Afdb) Katika Hafla Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam. Kushoto Ni Mwakilishi Mkazi Wa Benki Ya Maendeleo Ya Afrika Alex Mubiru.[/caption]   [caption id="attachment_38172" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Fedha Na Mipango Doto James (Kulia) Akizungumza Na Wanahabari (Hawaonekani)Pichani Mara Baada Ya Kusaini Mikataba Hiyo Ya Mkopo Wa Masharti Nafuu Wa Jumla Ya Shilingi Bilioni 440.703 Pamoja Na Msaada Wa Shilingi Bilioni 45 Katika Hafla Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_38173" align="aligncenter" width="750"] Mwakilishi Mkazi Wa Benki Ya Maendeleo Ya Afrika(Afdb) Alex Mubiru (Kushoto) Akizungumza Na Wanahabari Mara Baada Ya Benki Hiyo Kuikopesha Serikali Ya Tanzania Jumla Ya Shilingi Bilioni 440.703 Pamoja Na Msaada Wa Shilingi Bilioni 45 Ambapo Fedha Hizo Zote Zitatumika Katika Mradi Mkubwa Wa Umeme Mkoani Kigoma, Bajeti Kuu Ya Serikali, Kilimo Pamoja Na Mambo Mengine Ya Kimaendeleo. Mpiga Picha Wetu[/caption]    

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi