Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Serikali Kuendelea Kushirikiana na Tucta Kuongeza Tija na Ufanisi Sekta ya Kazi
Jan 08, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26487" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) wakati alipokutana na shirikisho hilo jana jijini Dar es salaam. Kushoto ni Rais wa TUCTA, Tumaini Nyamghokya na kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais utawala bora, George Mkuchika, Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi na Ajira), Anthony Mavunde.[/caption] [caption id="attachment_26488" align="aligncenter" width="750"]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) wakati alipokutana na shirikisho hilo jana jijini Dar es salaam.[/caption] [caption id="attachment_26489" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA), Tumaini Nyamghokya akifanunua masuala ya wafanyakazi wakati walipokutana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama jana jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_26490" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi na Ajira) Erick Shitindi akieleza masuala ya sekta ya kazi wakati wa mkutano wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) na serikali jana jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_26491" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) na serikali wakifuatilia majadiliano ya mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, jana jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_26492" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) na serikali wakifuatilia majadiliano ya mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, jana jijini Dar es Salaam. (Picha na Ibrahium Hamidu - OWM)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi