Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Sera Mpya ya Ujenzi Kukamilika Hivi Karibuni
Dec 07, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24302" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Ujenzi, Bi. Elizabeth Tagora, akifungua rasmi warsha ya siku moja, ya wadau wa ujenzi, kujadili mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24303" align="aligncenter" width="750"] Mwezeshaji wa mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, Bw. Cyril Batalia akifafanua jambo kwa wadau wa sekta ya ujenzi,wakati wa warsha ya kujadili na kuboresha sera hiyo, mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24304" align="aligncenter" width="750"] Wadau wa Sekta ya Ujenzi, wakifatilia uwasilishaji wa mapitio ya Sera mpya ya ujenzi katika warsha ya siku moja ya uboreshaji wa Sera hiyo, mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24305" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Ujenzi, Bi. Elizabeth Tagora (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa sekta ya Ujenzi mara baada ya kujadili mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, mjini Dodoma. (Imetolewa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi