Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Magufuli Ahudhuria Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jan 12, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26858" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani humo.[/caption] [caption id="attachment_26861" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26862" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Saluti kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro mara baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26863" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wanachi mara baada ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26864" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akipungia mkono wakati akiwasili katika uwanja wa Amani.[/caption] [caption id="attachment_26865" align="aligncenter" width="750"] Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA wakipita mbele ya jukwaa kuu katika maandamano ya sherehe za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_26866" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Fatma Karume mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amani kisiwani Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26867" align="aligncenter" width="683"] Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika uwanja wa Amani mara baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_26868" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amani kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26869" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Heshma katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zolizofanyika katika uwanja wa Amani.[/caption] [caption id="attachment_26870" align="aligncenter" width="750"] Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa mara baada ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zolizofanyika katika uwanja wa Amani. (Picha na Ikulu)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi