Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dkt. Shein Amtembelea Mzee Ali Hassan Mwinyi Nyumbani Kwake Maisara.
Jan 08, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39564" align="aligncenter" width="683"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzeee Ali Hassan Mwinyi alipofika nyumbani kwake Maisara Zanzibar , kumtembelea na kumjulia hali leo 8-1-2019.[/caption] [caption id="attachment_39565" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, akiongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakifurahia jambo wakati alipofika nyumbani kwake maisara Zanzibar kumjulia hali leo 8-1-2019, wakitoka baada ya mazungumzo yao[/caption] [caption id="attachment_39566" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, alipofika nyumbani kwake maisara Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali leo 8-1-2019.wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo hayo.(Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi