Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Azungumza na Mwakilishi wa UNESCO Tanzania
Jan 13, 2021
Na
Msemaji Mkuu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO nchini Tanzania.Bw. Tirso Dos Santos wakiwa katika ukumbi wa Ikulu wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo 13/1/2021, kushoto ni Ofisa wa Utamaduni UNESCO Tanzania Bi. Nancy Lazaro Mwaisaka
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO nchini Tanzania Bw. Tirso Dos Santos baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kutoka kulia ni Katibu Mkuu Kingozi, Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar na Katibu wa Baraza la Mapinduzi , Mhe. Lela Mohammed Mussana, kutoka kushoto ni Ofisa Utamaduni wa UNESCO Tanzania Bi. Nancy Lazaro Mwaisaka.