[caption id="attachment_26934" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud alipowazili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi la zamani mnazi mmoja kuhudhuria Taarab rasmi ilioandaliwa na Kikundi cha Taifa katika ukumbi huo.[/caption] [caption id="attachment_26935" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na viongozi wengine wakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya Taarab rasmin ya kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni.[/caption] [caption id="attachment_26936" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Mawaziri na Wananchi wakihudhuria hafla ya Taarab rasmin ya kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26937" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Kingi, akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa Taarab rasmin ya kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26938" align="aligncenter" width="750"] Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes wakiwa na Kocha wao Mkuu Hemed Suleiman Moroco wakihudhuria hafla ya Taarab rasmin ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26939" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume, wakiwa katika ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi kikwajuni wakifuatilia hafla ya Taaran rasmin inayopingwa na Kikundi cha Taifa Zanzibar kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26940" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wananchi waliohudhuria hafla ya Taarab ya kuadhimisha sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakifuatilia taarab hiyo iliokuwa ikipigwa na Kikundi cha Taraab cha Taifa cha Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26941" align="aligncenter" width="750"] Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar kikipiga wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya kuadimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26942" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mama Fatma Karume wakitunza wakati wa hafla ya Taarab rasmin ya kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26943" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakifuatilia hafla ya Taarab ya Kikundi cha Taifa cha Taraab kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26944" align="aligncenter" width="750"] Msanii Mkongwe wa muziki wa Taarab Zanzibar Makame Faki akitowa burudani wakati wa hafla hiyo akiimba Wimbo Maalum ulioombwa na wapenzi wa muziki wa Taarab Zanzibar wakati wa hafla hiyo Nampenda kwa Ishara.[/caption] [caption id="attachment_26946" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi katika Taarab maalum ya Kikundi cha Taifa katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kusherehekea miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26948" align="aligncenter" width="750"] Msanii wa Muziki wa Taarab Zanzibar Profesa Mohammed Elias akiimbi wimbo Wanaulizana wakati wa hafla hiyo ya kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar wakati Mke wa Rais wa Kwanza akitunza Mama Fatma Karume.(Picha na Ikulu)[/caption]