Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Zanzibar Awaandalia Chakula cha Mchana Wachezaji wa Zanzibar Heroes
Dec 23, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25518" align="aligncenter" width="750"] Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakipata chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein. Ikulu Zanzibar, kuipongeza Timu hiyo kwa ushujaha wake katika michuano ya Kombe la Chalenji.[/caption] [caption id="attachment_25519" align="aligncenter" width="750"] Viongozi wa Timu ya Zanzibar Heroes wakijumuika katika chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar jana.[/caption] [caption id="attachment_25520" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimpongeza Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco kwa jitihada zake alizoonesh kwa Timu ya Taifa ya Zanzibar kufikia hatua ya Fainali katika michuano ya Chalenji yaliomalizika wiki iliyopita Nchi Kenya.([/caption] [caption id="attachment_25521" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes na Wachezaji wa Zamani wa Zanzibar, baada ya hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao Ikulu Zanzibar jana. (Picha na Ikulu)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi