Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi Awasili Mkoani Dodoma na Kupokewa na Mwenyeji Wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Dec 14, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24873" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24874" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi wakipita kwenye gadi ya Heshima iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi mara baada ya Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24875" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi wakipita kwenye gadi ya Heshima iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi mara baada ya Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24876" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi wakati wakiangalia vikundi vya ngoma za utamaduni mara baada ya Rais huyo wa Msumbiji kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24878" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mgeni wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi wakati vikundi vya ngoma vilipokuwa vikitumbuiza katika uwanja wa ndege wa Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24880" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi katika Ikulu ya Dodoma kabla ya kuanza mazungumzo yao. (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi