Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Shein Aanza Ziara ya Kikazi Falme za Kiarabu
Jan 20, 2018
Na Msemaji Mkuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kabla ya kuaza ziara yake katika Nchi za Falme za Kiarabu. (Picha na Ikulu Zanzibar)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuaza ziara yake ya Kiserikali katika Nchi za Falme za Kiarabu. (Picha na Ikulu Zanzibar)

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiagana na Wazee wa CCM Zanzibar katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuaza ziara ya Wiki moja katika Nchi za Falma za Kiarab. (Picha na Ikulu Zanzibar)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi