Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Azungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Joosub Ikulu Jijini Dar es Salaam
Aug 11, 2023
Rais Samia Azungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Joosub Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika, Bw. Mohamed Shameel Joosub mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake tarehe 11 Agosti, 2023.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika, Bw. Mohamed Shameel Joosub aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika, Bw. Mohamed Shameel Joosub mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye wa pili kutoka kulia kwenye picha ya kumbukumbu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika, Bw. Mohamed Shameel Joosub, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Philip Besiimire pamoja na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni hiyo, Bi. Zuweina Farah Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023. 

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi