Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Azungumza katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na India
Oct 10, 2023
Rais Samia Azungumza katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na India
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara, Wakuu wa Taasisi mbalimbali pamoja na Wawekezaji kutoka India na Tanzania kwenye Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara uliofanyika New Delhi tarehe 10 Oktoba, 2023.
Na Ikulu

Viongozi, Wafanyabiashara pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na India uliofanyika New Delhi tarehe 10 Oktoba, 2023.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi