Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Azindua Mradi wa Maji, Azungumza na Wananchi Shelui
Oct 17, 2023
Rais Samia Azindua Mradi wa Maji, Azungumza na Wananchi Shelui
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Srikanta Pradhan pamoja na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso wakati wakivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya Mji wa Shelui katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Kijiji cha Kizonzo, Wilaya ya Iramba mkoani Singida tarehe 17 Oktoba, 2023.
Na Ikulu

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi