Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Mbarali, Awasalimia Wananchi wa Njombe
Aug 08, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Ubaruku, Mbarali mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) wilayani Mbarali mkoani Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Halali Wilaya ya Wanging’ombe alipowasili mkoani Njombe kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo tarehe 08 Agosti, 2022.