Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Awasili Mkoani Mbeya Kushiriki Sherehe za Nanenane
Aug 07, 2023
Rais Samia Awasili Mkoani Mbeya Kushiriki Sherehe za Nanenane
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023 kwa ajili ya kushiriki maonesho ya Nanenane.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma za asili vikitumbuiza mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023 kwa ajili ya kushiriki maonesho ya Nanenane.

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi