Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais Yoweri Museven wa Uganda
Jan 17, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambae pia ni Waziri wa Ulinzi wa Uganda, Mhe. Vicent Bamulangaki Sempijji, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Januari, 2022.