Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Apokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Oct 12, 2023
Rais Samia Apokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Balozi Hassan Simba Yahya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023
Na Administrator

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uwasilishwaji wa Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar, Mhe. Hussein Ali Mwinyi, Spika wa Bunge, Mhe. Tulia Ackson, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika picha ya pamoja na Kamati hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023

 

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi