Rais Samia Aongoza Mapokezi ya Ndege Mpya Bombadier Dash 8 Q400
Aug 01, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria kuipokea na kuizindua ndege mpya ya DE HAVILLAND DASH 8-Q400 katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) Julai 30, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipunga mkono mara baada ya kuipokea na kuizindua ndege mpya ya DE HAVILLAND DASH 8-Q400 katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) Julai 30, 2021.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Bombadier Dash 8 Q400 wakati ikiwasilini nchini Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na baadhi ya Viongozi wa Serikali wakipiga makofi baada ya kuipokea ndege mpya aina ya Bombadier Dash 8 Q400