Rais Samia Akutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Ikulu Dar es Salaam
Oct 31, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi, Mhe. Évariste Ndayishimiye ambaye ni Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni, Mhe. Balozi Gervais Abayeho (pamoja na ujumbe wake) mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam tarehe 30 Oktoba, 2023.
Na
Ikulu