Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Wabunge wa EALA
Jul 12, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam