Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Mstaafu wa Nigeria, Mhe. Olesugun Obasanjo ambaye pia ni Balozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo (International Institute of Tropical Agriculture) pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (kulia), Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Nigeria, Mhe. Olesugun Obasanjo ambaye pia ni Balozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo (International Institute of Tropical Agriculture), Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Nigeria, Mhe. Olesugun Obasanjo pamoja na ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo (International Institute of Tropical Agriculture), Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba, 2023.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa