Rais Samia Akagua Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa Mkoani Njombe
Aug 09, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Njombe mjini baada ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwagilia maji mti aina ya Mkaratusi maara baada ya kuupanda mbele ya Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.