Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Ahutubia Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika Nairobi Nchini Kenya
Sep 05, 2023
Rais Samia Ahutubia Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika Nairobi Nchini Kenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wakuu wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC), Nairobi nchini Kenya 05 Septemba, 2023
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi mbalimbali za Afrika, Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kenya, Mhe. William Ruto mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023

 

 

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi