Rais Samia Ahutubia katika Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani nchini Qatar
Oct 04, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022.