Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Ahitimisha Ziara kwa Kuhutubia Bunge la Zambia
Oct 25, 2023
Rais Samia Ahitimisha Ziara kwa Kuhutubia Bunge la Zambia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akihutubia Bunge la Zambia wakati akihitimisha Ziara yake ya Kitaifa nchini humo tarehe 25 Oktoba, 2023. Rais Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke kulihutubia Bunge hilo lililopo Lusaka nchini Zambia.
Na ikulu

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akiwashukuru Wabunge wa Bunge la Zambia mara baada ya kuwahutubia tarehe 25 Oktoba, 2023. Rais Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke kulihutubia Bunge lililopo Lusaka nchini Zambia

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi