Rais Samia Afungua Mkutano wa Wadau wa kujadili Hali ya Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa nchini Tanzania
Dec 15, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,akifungua mkutano wa Wadau wa kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa nchini Tanzania katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo tarehe 15 Desemba 2021.
Wadau wa kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa nchini Tanzania wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo tarehe 15 Desemba 2021 wakati alipokuwa akifungua kikao cha wadau hao.