Rais Samia Aagana na Wananchi wa Iringa Baada ya kukamilisha Ziara yake ya kikazi
Aug 13, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma alipowasili katika Kijiji cha Mpunguzi alipokuwa akitokea mkoani Iringa baada ya kukamilisha Ziara yake ya kikazi tarehe 13 Agosti, 2022.