Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii wa vikundi mbalimbali vya ngoma za asili alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo tarehe 22 Februari, 2022
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa