Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity
Apr 12, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity, Dkt. James Mwangi aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity, Dkt. James Mwangi mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2022.