Rais Mhe. Samia Atembelea Kituo cha Uwezeshaji wa Wafanyabiashara na Wabunifu cha Station F Start Up facility, Paris nchini Ufaransa.
Feb 13, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa kituo cha Station F Start Up facility Bi. Roxanne Varza kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa kituoni hapo mara baada ya kukitembelea jana tarehe 12 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wabunifu na wafanyabiashara katika kituo hicho cha Station F Start Up facility mara baada ya kukitembelea kituo hichoParis nchini Ufaransa jana tarehe 12 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo cha Station F Start Up facility mara baada ya kukitembelea Kituo hicho Paris nchini Ufaransajana tarehe 12 Februari, 2022.