Rais Mhe. Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mar 04, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 04 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu