Rais Mhe. Samia Akutana na Kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Freeman Mbowe
Mar 04, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022. .