Rais Mhe. Samia Ahutubia kwenye Siku ya Mashujaa Jijini Dodoma
Jul 25, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka silaha za jadi (Ngao na Mkuki) kwenye mnara wa Mashujaa kuadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi kwenye Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka wakati akiondoka katika viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2022.