[caption id="attachment_49353" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kahama mkoani Shinyanga.[/caption]
[caption id="attachment_49358" align="aligncenter" width="750"]
Wananchi wa Kahama wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika Wilaya hiyo wakati akitokea Mkoani Dodoma.[/caption]