[caption id="attachment_10868" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. Picha na Ikulu[/caption]