Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Azungumza na Wanunuzi wa Korosho Atoa Msimamo wa Serikali Kuhusu Bei ya Korosho
Oct 29, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37531" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanunuzi wa zao la Korosho katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam na kutoa msimamo wa Serikali kuhusu bei ya Korosho kuwa isipungue shilingi 3000 kwa kilo moja.[/caption] [caption id="attachment_37530" align="aligncenter" width="750"] Wadau na Wanunuzi wa Korosho wakiwa wanasikiliza Maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokutana nao na kuzungumza nao jijini Dar es Salaam.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi