Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Awaapisha Viongozi Wawili Ikulu Jijini Dar Es Salaam
Apr 01, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41593" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_41594" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Msafiri Mbibo kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_41595" align="aligncenter" width="987"] Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Adolf Ndunguru akiwa pamoja na Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wakila Kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_41597" align="aligncenter" width="768"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza salamu mbalimbali zilizokuwa zikitolewa Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kumuapisha Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) pamoja na Msafiri Mbibo kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA.[/caption] [caption id="attachment_41598" align="aligncenter" width="768"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha viongozi hao Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_41600" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi wa John Kijazi, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji wakwanza kushoto Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Adolf Ndunguru wapili kutoka kulia Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Msafiri Mbibo wapili kutoka kushoto mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi