[caption id="attachment_33662" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Dhifa ya kitaifa aliyowaandalia viongozi wa vyama vya siasa kutoka nchi mbalimbali za Afrika pamoja na Chama cha Kikomunisti cha China cha CPC Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_33663" align="aligncenter" width="750"] Viongozi wa vyama vya siasa kutoka nchi mbalimbali za Afrika pamoja na Chama cha Kikomunisti cha China cha CPC wakiwa katika Dhifa hio ya kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_33665" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya kimataifa na Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao wakiangalia burudani kutoka katika kikundi cha TOT katika Dhifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_33666" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya kimataifa na Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao akizungumza katika hafla hiyo ya chakula cha jioni.[/caption] [caption id="attachment_33667" align="aligncenter" width="750"] Kikundi cha TOT kikitumbuiza katika Dhifa ya kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_33669" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya kimataifa na Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao mara baada ya hafla hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_33670" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya Dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu[/caption]