Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Apokea Ujumbe wa Mfalme wa Oman Ikulu Dar es Salaam
Oct 18, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_20320" align="aligncenter" width="584"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_20321" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo[/caption] [caption id="attachment_20322" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Uwekezaji wa Oman Mhe. Salem Ben Nasser Al Ismaily aliyeongozana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy alipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo[/caption] [caption id="attachment_20323" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Utalii Mhe. Maitha Saif Majid aliefuatana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy walipokutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_20324" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Mhe.Ali A. Al Mahruqi aliyefuatana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo[/caption] [caption id="attachment_20325" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo[/caption] [caption id="attachment_20326" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy na ujumbe wake baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo[/caption] [caption id="attachment_20327" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsiliza Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy akiongea na wanahabari baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi