Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Afungua Mkutano wa Mashauriano wa Mwaka wa Wadau Mbalimbali wa Sekta ya Ujenzi Nchini
Sep 04, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46480" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wadau mbalimbali kutoka Bodi ya Usajili Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), Bodi ya Usajili Wakandarasi (CRB) Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) pamoja na wadau wa Sekta ya Ujenzi kabla ya kufungua mkutano huo wa Mwaka wa Mashauriano katika Bodi na Taasisi hiyo.[/caption] [caption id="attachment_46489" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mchungaji Daniel Mgogo mara baada ya kufungua mkutano huo wa Mashauriano uliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46485" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vitasa mbalimbali vya Milango wakati alipopita kukagua mabanda katika maonesho ya Wadau wa Sekta ya Ujenzi.[/caption] [caption id="attachment_46488" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Charles Kitwanga Mbunge wa Misungwi mara baada ya kukagua mabanda katika maonesho ya Wadau wa Sekta ya Ujenzi yaliyopo katika viwanja vya Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi