Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Kagame Afurahia Ushirikiano na Tanzania
Jan 14, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26994" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Baadhi ya viongozi wa Serikali mra baada ya kuwasilia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal I kwa ajili ya mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame aliyefanya ziara ya kikazi ya siku moja leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_26995" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame akishuka katika ndege alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal I leo Jijini Dar es Salaam. Rais Kagame amefanya ziara ya kikazi ya siku mmoja.[/caption] [caption id="attachment_26996" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wananchi wakimlaki Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame mara baada ya kupokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_26997" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame Ikulu ya Jijini Dar es Dar es Salaam leo. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mmoja.[/caption] [caption id="attachment_26999" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu mazungumzo baina yake na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame (kushoto) leo Ikulu Jijini Dar es Dar es Salaam. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja.[/caption] [caption id="attachment_27000" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu mazungumzo baina yake na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) leo Ikulu Jijini Dar es Dar es Salaam. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja.[/caption] [caption id="attachment_27002" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya viongozi wakifuatilia mkutano wa Marais DK. John Pombe Magufuli wa Tanzania na Paul Kagame wa Rwanda mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_27003" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame leo Ikulu Jijini Dar es Dar es Salaam. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja. (Picha na: MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi