Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Shein Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.
May 03, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42722" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini Tanzania[/caption] [caption id="attachment_42723" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa picha na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani , yenye Ujumbe Unaoashiria Upendo kwa Watoto, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga leo.3-5-2019.[/caption] [caption id="attachment_42724" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Tanzania akiwa na Mwakilishi wa UNICEF Anayefanyika kazi zake Zanzibar B. Maha Damaj[/caption] [caption id="attachment_42725" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar, kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini, kushoto akiwa na Mwakilishi wa UNICEF anayefanyika Kazi zake Zanzibar Bi. Maha Damaj[/caption] [caption id="attachment_42721" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo,3-5-2019.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi