[caption id="attachment_35683" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (katikati) alipofika kujitambulisha katikahafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa ikulu mjini Zanzibar,akifuatana na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw. Mohammed Ali Ahmed[/caption] [caption id="attachment_35684" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe. Jaji Frances Mutungi (katikati) alipofika kujitambulisha katika hafla iliyofanyika leo ukumbiwa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed[/caption] [caption id="attachment_35685" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akifuatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (kulia)baada ya mazungumzo alipofika kujitambulisha leo hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar(kushoto) Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed [Picha na Ikulu.]25/09/2018[/caption] [caption id="attachment_35678" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi Diwani Athumani alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_35680" align="aligncenter" width="680"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi Diwani Athumani baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar alipofika kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]25/09/2018.[/caption]