Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Wafanyabiashara wa Chakula Zanzibar
Sep 25, 2023
Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Wafanyabiashara wa Chakula Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara waagizaji wa Chakula Zanzibar (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Fedha na Mipango Zanzibar), Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed, mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2023.
Na Ikulu - Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara waagizaji wa Chakula Zanzibar,mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-9-2023

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi